alt text

Mawe Yenye Madini Ya Kimaajabu Ya Tourmaline


tourmaline ore Watu sasa wanaingia kwenye hali duni ya kiafya kwenye umri mdogo zaidi kadiri mapambano ya kimaisha yanavyozidi. Jiwe la lenye madini la asili la tourmaline limejionyesha kuwa ni suluhisho la kiafya kwa kuwa na uwingi wa madini ya boron, aluminium, sodium, iron, magnesium na lithium. Jiwe lenye madini la tourmaline hutengeneza mikondo midogo ya umeme ambayo huboresha afya ya seli za binadamu, tishu na viungo.




Namna Tano Za Ufanyakazi Kazi Kiafya Wa Tourmaline

1. Anions zinazozalishwa na tourmaline:
Mazingira ya kisasa yamegubikwa na vitu vingi vinavyozalisha kations (positively charged ions), ambazo ndizo zinazochangia uharibifu kwa binadamu kutokana na oksijeni (human oxidative stress). Wakati huo huo mawe ya madini ya tourmaline yanazalisha anions (negatively charged ions) zinazojulikana kama "vitamin of the air". Anions huweka sawa uwiano wa ioni katika mwili wa binadamu, huutuliza mwili na ubongo, huamsha seli, huboresha uwezo wa mwili wa kujiponya, na kupunguza madhara ya oksijeni, ambayo ndiyo chanzo cha kuzeeka kwa mwili.

2. Alkalescent electrolyte water:
Mawe yenye madini ya tourmaline yanaweza kufanya uchanganuaji wa maji na kuyageuza kuwa alkalescent water ambayo hurekebisha mfumo wa kiasidi wa mwili usio wa kiafya.

3. Far infrared rays released by tourmaline:
Mawe yenye madini ya tourmaline yanaweza kutoa mionzi ya infrared, ambayo hupenya kwenye viungo vya ndani kabisa vya mwili na kuamsha seli, kuboresha mzunguko wa damu na kuongeza kasi ya shughuli za kimetaboliki.

4. Madini ndani ya tourmaline:
Mawe yenye madini ya tourmaline yana madini makubwa na madogo yanayohitajika na mwili wa binadamu. Mzunguko tulivu wa mkondo dhaifu wa umeme ndani ya mawe yenye madini ya tourmaline unaweza kuongeza kasi ya ufyonzwaji wa madini na mwili, hivyo kuyafanya madini hayo kuwa chanzo cha madini mwilini.

5. Minimized water molecular clusters by tourmaline: Mawe yenye madini ya tourmaline hupunguza kujikusanya kwa molekuli za maji na kuyafanya yafanye kazi vizuri zaidi. Maji yaliyotibiwa na tourmaline yana nguvu zaidi ya kupenya na kuongeza ufyonzwaji wake ndani ya matumbo.

6. Bioelectric current resonance affect of tourmaline:

Tourmaline inatengeneza mkondo wa umeme wa kipimo cha 0.06A, ambao unalingana na bioelectric current ya mwili na kusababisha mfululizo (resonance). Mfululizo huo wa umeme una faida za kiafya: huboresha shughuli za kimetaboliki; hurekebisha central nervous system, husimamia shughuli za cerebral cortex; huboresha mapigo ya moyo na mzunguko wa damu; husaidia utembeaji wa majimaji ndani na nje ya seli.

Matumizi Makuu Ya Tourmaline

1. Viwanda vya nguo: Ikitumika kwenye viwanda vya nyuzi za nguo, tourmaline hutengeneza nyuzi za carbon ambazo ni rafiki wa mazingira. Unga laini sana wa mawe ya tourmaline unaweza kutengenezwa kuwa nyuzi nyembamba, ambazo ni mali ghafi za magodoro ambayo ni anti-magnetic, moisture-proof na cold-proof, mashati na makoti ambayo ni anti-electromgnetic radiation.

2. Kusafisha maji: Mawe yenye madini ya tourmaline yanaweza kutumika kusafishia maji. Unga wa mawe yenye madini ya tourmaline unaweza kutengenezwa na kuwa chembechembe ndogo za ceramic zenye rangi na maumbo tofauti. Chembechembe hizi ndogo za ceramic zina nafasi kubwa sana ya kulinda afya zikiwekwa kwenye vyombo vya kuyatibia maji. Zinaweza kuondoa chlorine kutoka maji ya bomba, na kubadilisha uasidi wa maji. Wakati huo huo, chembechembe hizi huchuja elementi mbalimbali zenye madhara zilizomo ndani ya maji na kutoa madini muhimu kwa mwili wa binadamu. Kuoga maji yaliyosafishwa na tourmaline kunaboresha afya ya ngozi.

3. Kulinda afya na vipodozi: Mawe yenye madini ya tormaline yanaweza kutumika kwa bidhaa za afya na urembo. Tourmaline ina madini kama ya boron, iron, magnesium, na lithium, ambayo yana faida kwa mwili wa binadamu. Rangi ya tourmaline iliyosagwa hugeuka kuwa nyeupe. Tourmaline ikiongezwa kwenye vipodozi au bidhaa za ngozi, hupunguza ukubwa wa molekuli za kugandisha za virutubishi, na kuzifanya ziweze kupita kirahisi kwenye nafasi kati ya seli na kufikia dermis ambako seli mpya za ngozi huzalishwa. Kwa hiyo, tourmaline inaweza kuondoa mikunyanzi na mba, kurudishia mnyumbuko wa ngozi, kuponya vidonda au uvimbe juu ya ngozi.





<<<<< MWANZO