Se Tablet
Viungo:
Selenium inayotokana na mimea na wanyama
Kazi na Faida zake:
- Huondoa matatizo yanayotokana na upungufu wa selenium;
- Huboresha uwezo wa mwili wa kuwa na antioxidants;
- Husimamia utoaji wa thyroxin;
- Hushiriki kwenye utengenezaji wa mbegu za kiume;
- Huusaidia mfumo wa kinga za mwili.
Yafaa kwa:
- Watu wenye upungufu wa selenium
- Watu wanaokula chakula cha kukobolewa au kinachotoka nje ya nyumba zao
Maelezo Muhimu:
Selenium iligunduliwa mwanzoni mwa karne ya 20 na mkemia wa Sweden - Jons Jacob Berzelius na kuipa jina la "Serene" baada ya mungu wa mwezi wa wagiriki wa kale. Miaka 40 baadaye mkemia mjerumani - Klaus Schwarz - alibaini kuwa selenium ilikuwa na tabia ya kuzuia kufa kwa seli (necrosis) za maini. Ilikija kugundulika kuwa magonjwa yaliyotokea China na Urusi ya "Keshan Disease" - matatizo ya misuli ya moyo (cardiomyopathy) na Kaschin Beck ambayo ni "ankylosis" (big-joint disease) yalitokea pale palipokuwa na upungufu mkubwa wa selenium.
Selenium inaboresha vipi afya zetu?
- Inasaidia katika utengenezaji na utoaji wa glutathione peroxidase, ambayo ni antioxidant asilia ya kutusaidia kujilinda na radikali huru (free radicals);
- Inatengeneza upya antioxidants, pamoja na vitamin C;
- Huzikinga mbegu za kiume zinazotengenezwa zisishambuliwe na radikali huru, kitu muhimu kwa mbegu, kitu ambacho huchangia uzalishaji na ubora wa mbegu;
- Husimamia kiwango cha homoni ya Thyroid - kwa kuibadilisha homoni isiyofanya kazi ya T4 na kuwa homoni inayofanya kazi ya T3;
- Husaidia utengenezaji wa selenoprotein P, ambayo husaidia kuzikinga seli za mwili zinazojenga mishipa ya damu, moyo na mfumo wa mzunguko wa damu. Selenoprotein P huukinga mwili kutokana na radikali huru za Nitrojeni, radikali huru ambazo hushambulia seli za mfumo wa mzunguko wa damu;
- Husaidia usikuvu wa magonjwa na kinga za mwili
Nini kinasababisha upungufu wa Selenium?
- Ukosefu wa selenium kwenye mazingira; ukosefu wa selenium ndani ya udongo husababisha upungufu wa selenium kwenye mimea na hivyo kusababisha upungufu wa selenium kwenye miili yetu.
- Uchafuzi wa mazingira: kutokana na uchafuzi wa mazingira unaotokana na viwanda na mvua zenye tindikali, kiwango cha selenium kinachochukuliwa na mimea kwa siku hupungua na kusababisha upungufu wa selenium kwenye miili ya binadamu.
- Utengenezaji wa chakula kilichokobolewa: Chakula hupoteza kati ya asilimia 50 hadi 75 ya selenium katika hatua za matayarisho. Kwa kawaida, nafaka nzima na maganda ya nje ya chakula huwa na kiwango kikubwa zaidi cha madini. Lakini, mpunga baada ya kukobolewa huwa na gramu 18.9 tu ya selenium kwa kilo. Watu wanaokula chakula kilichokobolewa wanaweza kukosa selenium katika miili yao.
Kiasi gani cha Selenium tunahitaji kila siku?
Selenium huchukuliwa kuwa ni madini adimu. Tunahitaji selenium kidogo sana ili miiliyetu iweze kufanya kazi vizuri na inaweza kuwa ni sumu endapo tutaitumia kwa wingi sana. Tumia angalau mcg 55 kwa siku na si zaidi ya mcg 400 kwa siku.
Nini matokeo ya kukosa Selenium?
Ukosefu wa selenium unahusishwa na matokeo ya magonjwa ya kansa na inahusishwa pia na vifo vilivyotokana na magonjwa ya kushambuliwa vijidudu wa aina nyingi, kama UKIMWI. Kutokana na uchafuzi wa mazingira wa viwanda na mvua za tindikali, sulphur dioxide itakutana na selenium na kujenga kemikali mpya, hali ambayo itaifanya mimea kufyonza selenium isiyofaa. Kwa nyongeza, staili nyingine za upandaji mimea hupunguza kiwango cha selenium kwenye mazao.
Katika mwili wa binadamu Selenium hutakiwa kwa wingi katika tezi ya thyroid kuliko kwenye sehemu nyingine ye yote.Selenium inahusika kwa kiwango kikubwa katika ufanyaji kazi wa thyroid, husaidia utengenezaji wa homoni ya thyroid. Watu wengi walioptwa na giotre walibainika kuwa na ukosefu wa iodine, lakini utafiti wa sasa umegundua kuwa wengi wao wanaweza kuwa na upungufu mkubwa wa selenium vile vile. Selenium ni muhimu katika kuuwezeka mwili kufanya mzunguko wa iodine.
<<<<< MWANZO