Ginseng RHs Capsule
Viungo:
Radix Ginseng
Kazi Na Faida Zake
- Uponyaji asilia unaotumika pamoja na dawa nyingine za kansa
- Huongeza idadi ya chembechembe nyeupe za damu; hufaa sana kwa wagonjwa wanaopata tiba za chemotherapy na radiotherapy;
- Huongeza kasi ya kupona kwa vidonda na kumsaidia mgonjwa kupona haraka baada ya kuugua au kuumia.
Yafaa Kwa:
- Watu wanaotaka kuongeza kinga za mwili
- Watu wenye uvimbe (benign or malignant tumor)
- Watu wanaopata tiba ya chemotherapy na/au radiotherapy.
- Watu walio chini ya uangalizi wa kiafya
- Watu wenye kiwango kidogo cha chembechembe nyeupe za damu kutokana na maambukizi ya HIV/UKIMWI
- watu wenye uchovu wa muda mrefu au wenye nia kuongeza nguvu (boost stamina).
Maelezo Muhimu:
Kuhusu Ginseng
Faida za kutumia ginseng ziligunduliwa kwa mara ya kwanza na wachina wa kale yapata miaka 5000 iliyopita, ikaanza kupata umaarufu kutokana na sifa zake za kuongeza nguvu mwilini na kupunguza kasi ya kuzeeka haraka. Mmea huu uliopatikana kwenye milima ya Manchuria una umbile kama la binadamu. Katika nchi ya China, mmea huu huheshimiwa kama "Mfalme Wa Mimea" na katika lugha ya kigiriki "Panax Ginseng" ina maana ya "Uponyaji Wa Kila Kitu". Umbile hilo lilichukuliwa na watu hao wa kale kuwa ni "utulivu wa hapa duniani ulioletwa na nguvu za kimungu".
Hadi kufika karne ya tatu AD, mahitaji ya ginseng kutoka China yalisababisha biashara ya kimataifa. Sayansi leo inathibitisha kile ambacho wachina na wauguzi wengine walikijua kwa karne nyingi, kwamba ginseng ina uwezo wa
kuongeza nguvu, kuongeza kinga za mwili na kujenga upya kinga za mwili zilizoharibiwa, kuboresha uwezo wa kufanya tendo la ndoa, kupunguza msongo wa mawazo, kuondoa kikohozi na kuongeza uwezo wa jumla wa kimwili wa kufanya kazi (increases stamina) .
Kwa Nini Ginseng RHs
Walaji au watumiaji wengi wa ginseng hawana ufahamu wa kutosha wa kutambua kuwa ubora kiutendaji wa ginseng hautegemei mmea huo ulitoka nchi gani, ulikuwa una umri gani ulipovunwa, gredi yake au aina yake ya ginseng. Ginseng kutoka sehemu tofauti zina ginsenosides za aina tofauti na za kiwango tofauti. Lakini, aina na viwango vya ginsenocides asilia si kitu cha msingi katika utendaji kazi wa ginseng. Kikubwa zaidi ni jinsi mwili wa binadamu utakavyoweza kuivunjavunja na kuifyonza ndani ya mwili wake.
Baada ya ginseng kumezwa, ginsenocides asilia huingia tumboni na kufika kwenye utumbo mdogo bila ya kumeng'enywa. Inapoingia ndani ya utumbo mpana, bakteria rafiki waishio ndani ya utumbo mpana hufanya kazi ya kuimeng'enya na kuigeuza kwenye vitu vinavyoweza kufyonzwa kama Compound K, RH1 na RH2.Utafiti wa kisayansi umeonyesha kuwa mwili una uwezo wa kufyonza ginsenocides hizo, Compound K, RH1 na RH2, na si ginsenocides asilia.
Kutokana na umri kuwa mkubwa, magonjwa , kutopata chakula kilichokamilika, msongo wa mawazo na mitindo mingine ya kuishi, watu wengi hawana mifumo ya mmeng'enyo ya chakula yenye afya (wanakosa bakteria rafiki wazuri) wa kuweza kuwasaidia kuvunjavunja na kufyonza ginsenocides.
Ginseng RHs Ya Green World
Kidonge cha Ginseng RHs cha Green World kimeongezewa uwingi wa RH1 na RH2 kwa zaidi ya mara 1,000. Imethibishwa na matibibu kuwa inaweza kuongeza kiwango cha leukocytes katika siku 2 au 3 tu baada ya kuinywa. Ina uwezo wa kudhibiti mwongezeko wa haraka na kuhama kwa seli (metastasis) za kansa ikiwa inapunguza kutokea kwa kansa. Inaweza kuanzisha uundwaji wa DNA na RNA na hivyo kuongeza kinga za mwili.
<<<<< MWANZO