alt text

Cordyceps Plus Capsule


Viungo:

Cordyceps sinensis mycelium, Radix ginseng

Cordyceps Plus Capsule

Kazi na Faida zake:

  1. Kuongeza kinga dhidi ya mashambulizi ya vijidudu viletavyo maradhi;
  2. Ina tabia ya kupiga vita kansa;
  3. Kuboresha ufanyaji kazi wa ini, mapafu na figo;
  4. Kuongeza nguvu kwa wenye matatizo ya uchovu wa muda mrefu.


Inafaa Kutumiwa Na:



Maelezo Muhimu:

Kuhusu Cordyceps Sinensis:
Cordyceps Sinensis imekuwa ni kitu cha thamani kwenye tiba za asili za kichina kwa karne nyingi. Cordyceps sinensis hupatikana kwenye nyanda za juu (mita 3800 juu kutoka usawa wa bahari) za milima ya Himalaya na ni kitu kigumu sana kukivuna toka huko juu. Ugumu huo ndio ulisababisha cordyceps kuwa moja ya bidhaa zenye bei ya juu sana na kuifanya itumike kwenye majumba ya kifalme na familia za juu tu za China. Ukulima wa kisasa umewezesha bidhaa hii inayotokana na fungus kutoka kwenye viwavi kupatikana kwa urahisi zaidi na kuteremsha bei yake kwenye soko la dunia.

viwavi wa cordyceps

Cordyceps imebainika kuwa na uwingi wa vitu vya asili vya viumbe hai vyenye manufaa kwa binadamu kama cordyceps sinensis polysaccharide, tindikali ya cordyceps sinensis, cordycepin na adenosine, vyote vikiwa na manufaa makubwa kwa afya ya binadamu. Baadhi ya manufaa hayo ya cordyceps ni:

faida za cordyceps kwenye mapafu

Kiongeza Kinga: Hufanya kazi vizuri sana ikiambatanishwa na Ginseng, vidonge vya cordyceps plus huimarisha kinga za mwili na kuusaidia mwili kuhimili mashambulizi ya vijidudu vya magonjwa kama bakteria, virusi na viumbe wengine tegemezi (parasites).
Faida Katika Mfumo Wa Upumuaji: Cordyceps huimarisha mfumo wa upumuaji kwa kuilegeza misuli (relaxing the bronchial smooth muscles) laini ya njia za hewa za kwenye mapafu. Inasaidia kikohozi cha muda mrefu (chronic cough), magonjwa yanaoshambulia ngozi nyororo inayotanda juu ya njia za hewa za mapafu (bronchitis), TB ya mapafu (pulmonary tuberculosis), ugonjwa wa chronic obstructive pulmonary disease (COPD), na pumu (asthma).

Cordyceps Hutibu figo.: Tafiti zimeonyesha kuwa cordyceps ina uwezo mkubwa wa kuboresha ufanyaji kazi wa figo na kinga za mwili za wagonjwa wenywe matatizo kwenye figo zao.

uwezo wa mazoezi ya nguvu

Faida Kwenye Maini: Karibu katika tafiti zote za tiba cordyceps imeonyesha kuimarisha ufanisi katika ufanyaji kazi wa ini. Katika bara la Asia, cordyceps imetambuliwa kuwa ni tiba ya kutumia mimea kwa kuponya matatizo ya muda mrefu ya magonjwa ya ini ya hepatitis B na C.
Tiba Ya Kansa: Cordyceps ilionekana kufanya kazi za kuondoa uvimbe na kuamsha kinga za mwili wakati ilipotumika sambamba na tiba za kansa za chemotherapy na radiotherapy na hata ilipotumika pamoja na tiba za aina nyingine za kansa.
Nguvu ya Moyo:Cordyceps huuongezea moyo uwezo wa kuhimili ufanyaji kazi wa nguvu na wa muda mrefu (cardiovascular endurance).
Lecithin



<<<<< MWANZO