Chitosan Capsule
Viungo:
Chitosan
Kazi na Faida zake:
- Hupunguza lipids kwenye damu, kusaidia kupunguza uzito;
- Hupuguza sukari katika damu;
- Kuimarisha ufanyaji kazi wa ini,kuzuia ini lisiharibiwe na sumu;
- Husaidia uponyaji wa kansa ya tumbo.
Yafaa kwa:
- Watu wenye nia ya kupunguza uzito;
- Watu wenye kiwango kikubwa cha lipid na sukari;
- Watu wenye mafuta kwenye ini (fatty liver), hepatitis na matatizo mengine ya ini;
- Watu wenye kansa ya tumbo.
Maelezo Muhimu:
Kuhusu Chitosan:
Ni aina ya sukari isiyoweza kumeng'enywa na mwili. Inatokana na magamba ya nje ya samaki kama kaa, lobster n.k. Chitosan hutajwa kuwa ni "Kiungo cha sita cha maisha" - sixth element of life. Katika nchi za Marekani na Ulaya, chitosan huitwa sumaku ya mafuta - Fat Magnet. Faida za chitosan ni nyingi sana. Kupunguza uzito ni moja ya faida zinazoeleweka za wanga huu. Imeonekana vile vile kufaa kwa matatizo ya pressure ya juu na cholesterol, kuboresha kinga za mwili, matatizo ya vidonda vya tumbo na mifupa (osteporosis).
Hutoa Sumu Mwilini (Detoxifier): Chitosan huwa na chaji chanya (positively charged) hivyo hunata kwenye madini ya chuma (heavy metal) na vitu vyenye sumu ndani ya mwili ambavyo huwa na chaji hasi. Baadaye sumu na madini hayo mazito hutolewa nje ya mwili kwa njia ya haja kubwa.
Husafisha Utumbo Mpana (A Colon Cleanser):Chitosan husaidia utiririkaji wa chakula ndani ya utumbo. Chitosan pia husaidia ukuaji na kasi ya ukuaji wa bakteria rafiki (friendly bacteria) kama L.acidophilus, L.salivarius, L.casei, L.thermophilus, B.bifidum na B.longum ndani ya utumbo mpana.
Hupambana Na Saratani: Chitosan hubadilisha hali ya utindikali (pH value) kuelekea kwenye u-alkali kwa kiwango cha 0.05 na hivyo kuvuruga mazingira rafiki kwa seli za kansa. Huamsha ufanyaji kazi wa seli za lymph na kuzisaidia kufanya kazi vizuri. Chitosan hunata na kujichanganya na sumu zinazozalishwa na seli za kansa hivyo kupunguza sumu zitokanazo na kansa.
Huondoa Mafuta (A Fat Magnet): Nyuzinyuzi za chitosan zina chaji chanya. Kwa vile mafuta, lipids na tindikali za nyongo zina chaji hasi, vitu hivi huvutana, hunatana na kutengeneza mchangayiko ambao hauwezi kufyonzwa na mwili. Chitosan ina uwezo wa kujiyeyusha na kujichanganya na mafuta yenye uzito wa mara 6 hadi 10 ya uzito wake. Ni kwa sababu hii katika nchi za Ulaya na Marekani, bidhaa hii huitwa sumaku ya mafuta (Fat magnet).
4.Hurekebisha Kiwango Cha Sukari: Chitosan hunatana na glucose katika utumbo na kupunguza ufyonzwaji wake na mwili. Huamsha seli za kongosha (B-cells) ili ziweze kuzalisha insulin. Huongeza usikivu wa viungo vya seli (insulin receptors) ili viweze kuitumia glucose iliyopo ndani ya mwili.
Huyalinda maini: Hunatana na madini mazito ya chuma na sumu nyingine na kuzitoa nje ya mwili na hivyo kupunguza uharibifu wa maini. Huamsha na kukarabati seli za maini na hivyo kuimarisha ujenzi wa maini. Hupunguza cholesterol na kupunguza tatizo la kuwa na mafuta katika maini (fatty liver).
Mmeng'enyo Wa Chakula:Chitosan husaidia matatizo ya kutopata choo, vidonda vya tumbo (gastric ulcer) na kuondoa ute na bacteria walio juu ya meno ambao huweza kusababisha vitobo kwenye meno (dyspepsia).
Matatizo ya Mishipa Ya damu: Chitosan husaidia kupunguza tatizo la kuwa na msukumo mkubwa wa damu . Huondoa lipids na hupunguza tatizo la kuwa na damu nzito (high blood viscosity).
<<<<< MWANZO