Calcium
Kazi Na Faida Zake
- Kujenga afya ya mifupa na meno, na kuzuia kuzuia mifupa kuwa myepesi na isiyo na nguvu (osteoporosis)
- Kusaidiaa kuuweka uzito wa mwili katika kiwango kizuri
- Kuzuia maumivu kabla ya hedhi (PMS) au matatizo baada ya kukoma hedhi
- Kuboresha ufanyaji kazi wa moyo na misuli ya moyo
- Kuboresha mawasiliano ya neva
- Kuzuia matatizo ya kubanwa misuli (muscle spasms)na maumivu kwenye mapaja, mikono na kwapani, na kutoa jasho usiku
- Kuzuia ujengwaji na kuondoa mtoto wa jicho (cataract), na tatizo la kushindwa kuona mbali (myopia).
Maelezo Muhimu:
Kuhusu Calcium
Calcium inachukua nafsi kubwa katika utendaji kazi wa mwili. Calcium ni madini inayopatina kwa wingi zaidi katika mwili (asilimia 50.5), hupatikana kutokana na baadhi ya chakula, virutubisho vya kiada,na baadhi ya madawa (madawa ya kupoza makali ya tindikali). Calcium inahitajika katika kujiminya na kutanuka kwa mishipa, ufanyaji kazi wa misuli, upashaji habari wa neva, mawasiliano kati ya seli na utolewaji wa homoni, pamoja na kwamba ni asilimia 1 moja tu calcium katika mwili ndiyo inayofanya kazi hizi zote muhimu za mwili.
Uhifadhi Wa Calcium Katika Mifupa Na Meno
Mwili hutumia tishu (mkusanyiko wa seli) za mifupa kama hifadhi, na kama chanzo cha calcium, katika kuhakikisha kuwa kiwango cha calcium katika damu, misuli, na majimaji ya kwenye ubongo kinakuwa sawa. Kiwango kipatacho asilimia 99 ya calcium ya ndani ya mwili kinahifadhiwa ndani ya mifupa na meno ambako kinasaidia kutunza maumbo na ufanyaji kazi wa sehemu hizo. Mifupa kila wakati inabadilikabadilika, kila wakati kuna uhifadhi na utolewaji wa calcium na kujengga mifupa mipya. Kiwango cha calcium kinachosalia husambaa katika damu. Calcium pekee hufikia asiliia 2 ya uzito wa mwili wa mtu.
Matumizi Ya Calcium Na Umri
Uwiano kati ya uhifadhi wa calcium ndani ya mifupa na kunyonywa kwake kwa ajili ya matumizi ya mwili unabadilika kulingana na umri wa mtu. Ujenzi wa mifupa unauzidi unyonywaji wa calcium kutoka kwenye mifupa wakati wa kukua kwa watoto na vijana wa balehe, tofauti na wakati wa umri wa kati ambapo vitendo hivi hulingana. Wakati wa kuzeeka, na hasa kwa akina mama waliokoma hedhi, kubomoka kwa mifupa kunauzidi ujenzi wake, na kusababisha udhaifu wa mifupa na hatimaye magonjwa ya osteoporosis (ukosefu wa uimara wa mifupa).
Kuzuia Kudhoofika Kwa Mifupa: (Osteporosis)
Calcium ni muhimu ili mifupa na meno yawe imara. Ni madini muhimu sana kwa watoto na vijana. Uingizaji wa calcium katika mwili hufikia kilele kwenye miaka ya 20, na kisha kuanza kupungua kwenye umri wa miaka 30 wakati unyonywaji wa calcium kutoka kwenye mifupa unapoanza. Kupata calcium kwa wingi vikiambatana na vitamini D kunaweza kuongeza uzito wa mifupa kwa watoto na vijana na kupunguza kudhoofika kwa mifupa umri unapokuwa mkubwa.
Calcium Na Afya Ya Moyo:
Calcium ina nafasi kubwa katika mawasiliano ya neva na ufanyaji kazi wa misuli. Kiwango kizuri cha calcium huifanya misuli ya moyo kukaza na kulegea inavyotakiwa. Calcium husaidia kuweka kiwango kizuri cha pressure mwilini.
Calcium Na Matatizo Ya Kabla Ya Hedhi (PMS):
Mwili ukikosa calcium na vitamini D ya kutosha, homoni za kusimamia calcium mwilini (parathyroid na calcitrol) vinakinzana na estrogen na progesterone na kusababisha matatizo ya kabla ya hedhi (pre-menstrual syndrome).
Calcium Na Mtoto Wa Jicho (Cataract):
Sababu kubwa ya kutokea kwa mtoto wa jicho ni upungufu wa calcium katika damu au kutofanya kazi vizuri kwa homoni ya parathyroid. Upungufu wa calcium unaathiri kupenyeka kwa membrane na kusababisha calcium kutuama kwa wingi kwenye crystal. Baadaye utando mnene wa tonica albuginea hujijenga na kusababisha ukungu mbele au hata mara nyingine upofu. Matumizi ya calcium yanazuia ujengwaji huu wa mtoto wa jicho.
Viwango Vinavyoshauriwa Vya Calcium
Viwango vya calcium vinavyoshauriwa kutumia (Recommended Dietary Allowance -RDA) ni wastani wa kawaida wa kiwango kwa siku ili kukidhi mahitaji ya virutubishi vya mwili vya mtu mwenye afya nzuri. Vimeorodheshwa hapa chini katika miligramu kwa siku.
Calcium Capsule
Viungo:
Nano calcium
Yafaa Kutumiwa Na:
- Watu wazima wanaoshindwa kupata calcium ya kutosha kwa siku kutoka kwenye chakula chao
- Watu wenye upungufu wa calcium
- Wanawake wenye mimba na wanaonyonyesha
- Wanawake waliokoma hedhi
Calcium Tablet for Children
Viungo:
Nano milk calcium, sucrose, starch
Yafaa Kutumiwa Na:
- Watoto au vijana wa balehe wanaoshindwa kupata mahitaji yao ya calcium ya siku kutoka kwenye chakula chao
- Watoto au vijana wa balahe wenye upungufu wa calcium
<<<<< MWANZO