alt text

Prostasure Capsule


Viungo:


Prostasure capsuleExtractum of Radix Rehmanniae, Rhizoma Anemarrhenae, Cortex Phellodendri Chinsis, Herba Ecliptae, Fructus Ligustri Lucidi, Harba Plantaginis, Radix Paeoniae Rubra.


Kazi Na Faida Zake
Yafaa Kwa:


Maelezo Muhimu:


Tezi dume (Prostate) ni kiungo kidogo ambacho pamoja na kiungo kingine kiitwacho seminal vesicles, vinatoa ugiligili (fluid), kila kimoja, ambao ni sehemu ya shahawa. Tezi dume inapatikana chini tu ya kibofu cha mkojo na inaizunguka urethra, mrija wa kupitisha mkojo ambao unapita ndani ya uume.
Matatizo ya tezi dume mara nyingi yanahusiana na umri kuwa mkubwa: kadri umri wa mwanamme unavyozidi kuwa mkubwa, ndivyo uwezekano wa kupata matatizo na madhara yanayoambatana na tezi dume unavyoongezeka. Baada ya umri wa miaka 50, matatizo ya tezi dume ni moja ya matatizo yanayowasumbua sana wanaume. Asilimia 80 ya matokeo ya uchunguzi yanayobainisha uwepo wa kansa, yanapatikana kwenye umri unaozidi miaka 65, na kwenye umri wa miaka 70, asilimia 90 ya wanaume wote wanaonyesha angalau dalili za kupanuka kwa tezi dume.

Aina Ya Matatizo Ya Tezi Dume :
Matatizo ya tezi dume yanaonekana kuangukia katika makundi matatu: prostatitis; kushambuliwa na ugonjwa kwa tezi; benign prostatic hyperplasia (BPH), ambapo tezi dume huvimba na kuiminya urethra; na kansa.

Dalili Za Matatizo ya Tezi Dume
. Mkojo kutoka kwa shida au maumivu wakati wa kukojoa
. Maumivu kama ya moto wakati wa kukojoa
. Maumivu ya nyonga
. Kukojoa mara kwa mara
. Maumivu ya tumbo
. Kushindwa kuzuia mkojo
. Ugumba
. Kusijikia mkojo hauishi
. Kushindwa ghafla kukojoa
. Maambukizi kwenye njia ya mkojo
. Damu ndani ya mkojo na/au ukosefu wa chembechembe nyekundu za damu
. Kukojoa usiku mara nyingi sana

.
Green World Prostasure Inasaidiaje?
Bidhaa hii inazuia na kuondoa dalili za matatizo ya tezi dume kama, kukojoa kila mara, mkojo kutoka kwa shida au maumivu wakati wa kukojoa. Prostasure inaboresha mzunguko wa damu na kuzuia ukuaji wa vijidudu wadogo wanaoweza kusababisha magonjwa kwenye tezi dume.

Prostasure

<<<<< MWANZO