alt text

Livergen Capsule


Viungo:

Cassia Seed, Fructus Lycii, White Chrysanthemum, Root of Dahurian Angelica, Rhizoma Dioscoreae, Dandelion

Livergen Capsule

Kazi na Faida zake:

  1. Kitoa sumu kinachochea utoaji sumu mwilini
  2. Kuboresha mzunguko wa damu ndani ya mishipa midogo ya ini na kuimaarisha utendaji wa ini
  3. Kusaidia ujenzi wa seli za ini
  4. Kupunguza kasi ya kuharibika kwa ini (liver cirrhosis) kunakochangiwa na ini kuwa na mafuta, hepatitis na utumiaji wa pombe
  5. Kuzuia uharibifu wa ini kutokana na kemikali, metali nzito, madawa, sumu ndani ya chakula na vichafuzi vingine.


Inafaa Kutumika Kwa:Maelezo Muhimu:

Ini ni kiungo kikubwa kinachopatikana upande wa kulia wa tumbo. Ini linajulikana kufanya kazi zaidi ya 500 na kwa sababu hiyo huitwa maabara ya mwili wa binadamu. Ini linahusishwa na utendaji kazi wa viungo vyote vya mwili kwa sababu hufanya kazi ya kuchuja chakula na majimaji yote yanayoingia. Mwili hulitegemea ini katika kuondoa sumu na kwa sababu hiyo linahusishwa na magonjwa yote au matatizo yote yanayotokea katika mwili wa binadamu.

. Kujenga na kuvunja protini, mafuta, na wanga, na hivyo kutoa nishati na virutubishi
. Kutunza vitamini, madini na sukari
. Kuchuja damu na kusaidia kuondoa kemikali mbaya na bakteria wabaya
. Huzalisha nyongo inayovunjavunja mafuta
. Hutunza damu ambayo inaweza ikatolewa mara itakapohitajika
. Hutengeneza protini za maji (serum proteins) ambazo hulinda uwiano wa maji mwilini na kutumika katika usafirishaji
. Husaidia kulinda kiwango cha maji na electrolyte
. Huzalisha chembechembe za kinga kama gamma globulin
. Huvunja na kuondoa homoni za ziada
. Huzalisha urea, hujenga protini ya damu, na kuzibadilisha amino acids
. Hujenga mifumo 50,000 ya enzyme ya kusimamia ujenzi na uvunjaji wa kemikali wa maeneo yote ya mwili
. Huondoa chembechembe nyekundu za damu zilizoharibika.

Hii ni sehemu tu ya orodha ndefu ya kazi za ini. Haijajulikana kiuhakika ni shughuli ngapi za mwili zinasimamiwa na ini.

Magonjwa Ya Ini:
Vitu vingi vinaweza kusababisha magonjwa ya ini. Hivi ni pamoaja na maambukizi ya hepatitis B, chakula kisichojitosheleza, uchafuzi wa hewa, uvutaji wa sigara, uchovu wa muda mrefu, mafua makali, na kadhalika.

Livergen Capsule Inasaidiaje?
Livergen Capsule inayotengenezwa na Green World inaboresha mzunguko wa damu katika ini na pia katika mishipa midogo iliyo ndani ya ini; inasaidia ukarabati wa seli za ini zilizoathirika. Hurudisha utendaji kazi wa ini lililoshambuliwa na kuwa wa kawaida na kuboresha shughuli za utoaji sumu za ini.

Livergen<<<<< MWANZO