alt text

Joint Health Plus Capsule (ArthroPower Capsule)


Viungo:

Glucosamine Hydrochloride, Chondroitin Sulfate, Astragalus Root Extract, Calcium Carbonate

Joint Health Plus Capsule

Kazi na Faida zake:

  1. Kuondoa maumivu na uvimbe unaosababishwa na arthritis
  2. Kuondoa magonjwa ya uchakavu wa viungio vya mifupa kwa watu wa umri wa kati na wazee

Inafaa Kutumika Kwa:Maelezo Muhimu:


Ugonjwa wa arthritis ndio chanzo kikuu cha ulemavu. Asilimia 41 ya watu wenye arhritis wanashindwa kuendesha shughuli zao vizuri. Arthritis ni ugonjwa unaotokana na kukosa mlo kamili na staili mbaya za maisha. Arthritis ni ugonjwa unaoathiri uti wa mgongo, magoti, mifupa ya nyonga, vidole vya miguu na mikono. Aina za arthritis zinazosumbua watu wengi ni osteoarthritis, rheumatoid arthritis na gout.

arthritis

Ugonjwa Wa Uchakavu Wa Maungio Ya Mifupa (Osteoarthritis):

ugonjwa wa arthritis

Osteoarthritis ni ugonjwa unaotokana na uchakavu wa sehemu za maungio ya mifupa na kusababisha utando wa juu ya mifupa uitwao cartilage kuisha kutokana na uzito wa mwili. Utando huu ukipungua unene wake au kwisha, mifuga huanza kusagana na kusababisha maumivu na kukakamaa kwa maungio ya mifupa. Hali hii husababisha ncha kutokea na kuzidi kuongeza maumivu kwenye sehemu hiyo ya maungio. Takwimu zinaonyesha kuwa magonjwa ya uchakavu wa maungio ya mifupa huathiri asilimia 80 ya watu wenye umri unaozidi miaka 60.
Glucosamine chloride ndio kiungo kikuu cha maungio ya mifupa, na ndiyo pekee inayoweza kuondoa osteoarthritis hadi sasa katika medani ya tiba. Glucosamine chloride hutumika katika kujenga upya cartilage inayozunguka maungio ya mifupa. Tatizo la osteoarthritis linapotokea, cartilage huwa nyembamba, ngumu na iliyoacha sehemu za wazi.

Chondroitin Sulfate:
Chondroitin sulfate huchochea utolewaji wa sclerotin, hurudishia cartilage kwenye hali yake ya kawaida, huboresha mwungano na ubadilishaji wa sclerotin iliyoharibika, huzuia uharibifu na kuponya mucous membrane iliyoharibiwa na radikali huru, na kurudishia synovial fluid iliyoharibiwa. Ukosefu wa chondroitin sulfate katika cartilage ndio chanzo kikuu cha osteoarthritis.

Astragalus Root Extract:

rheumatoid arthritis

Astragalus root extract inarekebisha kinga za mwili na kusaidia kuondoa madhara ya kinga za mwili zinazogeuka na kuushambulia mwili (auto-immune reactions) wa mtu mwenye tatizo la rheumatoid arthritis.

Calcium Carbonate:
Calcium Carbonate huongeza calcium katika mwili, ambayo ndiyo kiungo kikuu cha kujenga mifupa na joints.

Joint Health Inasaidia Vipi Kutibu Magonjwa Ya Joints?
Joint Health ina uwezo kamili wa kuondoa matatizo ya arthritis na maumivu ya misuli (myositis). Matumizi ya muda mrefu yanaweza kuwasaidia watu wa umri wa kati na wazee wenye maumivu ya sehemu ya chini ya uti wa mgongo (lumbago), matatizo ya scelalgia na arthralgia, na hasa gonitis, vertebra za shingo na kuongezeka ukubwa kwa lumbar vertebra..

Joint Health<<<<< MWANZO