alt text

Detoxin Pad


Viungo:

Bamboo vinegar, Vitamin C, Chitosan, Tourmaline

Detoxin Pads

Kazi Zake na FaidaYafaa Kwa:


Maelezo Muhimu:

Miguu ya binadamu ni kama mizizi ya miti. Miti huzeeka kuanzia kwenye mizizi na binadamu huzeeka kuanzia miguuni.Kufuatia sayansi ya wachina, mwili wa binadamu ni sehemu 60 kwenye nyayo zake ambazo zinaakisi sehemu zake nyingine za mwili (60 reflexology meridian points). Sehemu hizo ni kioo cha viungo vingine muhimu vya ndani ya mwili wa binadamu. Kwa sababu ya uvutano wa dunia na kwa kuwa kinga za mwili za asili hupeleka sumu mbali na viungo muhimu vya mwili, mfumo wa lymphatic - mfumo wa kutoa maji na sumu nje mwili - uliopo miguuni na miguu yenyewe, huwa ni shimo la kutunzia madini mazito na sumu za mwili.


sayansi ya reflexology ya chinaNi kwa namna gani sumu zinaharibu afya?
Mwili uapovunjavunja chakula ili upate nguvu na kujijengea seli mpya, sumu pia hutengenezwa, ambazo hujaa kwenye sehemu za maungio ya mifupa na kwenye nyayo na kuathiri mzunguko wa damu katika mwili. Magonjwa ya maungio ya mifupa (arthritis), matatizo ya kuchubuka na kuvimba kwa ngozi(dermatosis), mzio (allergy) na pressure ya kupanda yanayosababishwa na kujazana kwa sumu yanaweza kuathiri maisha ya watu kwa kiwango kikubwa sana. Majaribio yaliyofanywa na wanasayansi wa Japani yaligundua kuwa Detoxin Pad inaweza kuondoa unyevu na sumu kutoka kwenye mwili wa binadamu.

Detoxin pad inaisafishaje miili yetu?

sumu na madini miguuni

Bidhaa hii hutokana na mvuke wa vinegar asilia ya mianzi na aina nyingine za mimea.Kutokana na uwezo mkubwa wa kunyonya sumu wa vinegar ya mianzi, bidhaa hii inazuia na kukamata mabaki yatokanayo na uvunjaji wa chakula wa mwili, mabaki ya majimaji mwilini na lipids kwenye vijitundu vya ngozi na kuvitoa nje. Inasukuma nje maji yaliyozuiwa mwilini, inaondoa unyevu uliojikusanya kwa muda mrefu na sumu za mwili, hivyo kufanikisha lengo kuu la kuisafisha damu. Tourmaline hutoa aina ya mionzi (far infra-red rays) ambayo inatengeneza ioni zenye chaji hasi (negative ions). Ioni hizi zenye chaji hasi hupenya kupitia sehemu za uakisi (reflex zones) za miguuni na kupunguza maumivu mwilini. Vitamini C ni antioxidant yenye nguvu kwa kupambana na radikali huru.

Utaona nini baada ya kutumia Detoxin Pad?
Ni kitu cha kawaida kuona uchafu mweusi unaonata juu ya pad, hii ni sumu iliyotoka ndani ya mwili wako. Ukirudia matumizi ya detoxin pad, sumu ndani ya mwili wako itapungua. Kwa hiyo, rangi ya uchafu na uwingi wake vitapungua.

Namna ya kutumia Detoxin Pad
Safisha ngozi ya mwili kisha bandika detoxin pad kwenye unyayo au sehemu nyingine ya mwili kama maungio ya mifupa, kwenye viganja,kiunoni, mabegani, mgongoni, kwenye msuli n.k. hakikisha upande wenye vitundu unakaa juu ya ngozi na upande wenye maandishi unakuwa nje ambako utabandika kipande chenye gundi juu yake. Bada ya matumizi, bandua pad na kusaisha ngozi na maji. Kila Pad na kipande chenye gundi vinaweza utumika mara moja tu.

namna ya kutumia magic detoxin pads

Tahadhali

Detoxin Pad

<<<<< MWANZO