alt text

Vigpower Capsule (For Men)


Viungo:


Semen Cuscutae, Fructus Lycii, Rhizoma Dioscoreae, Radix Rehmanniae Preparata. Cortex Moutan

Vig Power Capsule

Kazi Na Faida ZakeYafaa Kwa:


semen cuscutae

Maelezo Muhimu:

Semen Cuscutae:
Kazi kubwa ya Semen Cuscutae ni kuzipa figo viungo muhimu na kusaidia kuboresha tendo la ndoa na uwezo wa kuzalisha.

fructus lycii

Fructus Lycii:
Kazi kubwa ya Fructus Lycii ni kuupa mwili nguvu ili mtu awe na nguvu za kutosha wakati kufanya tendo la ndoa. Fructus Lycii huongeza muda wa kufika kileleni na kuwafanya washiriki wote wawili kuridhika.

Rhizoma Dioscoreae:
Viungo muhimu ndani ya Rhizoma Dioscoreae ni pamoja na tindikali za amino 18 na madini adimu zaidi ya 10 yenye kumwongezea mtu uhai na mwenye kujisikia vizuri.

Radix Rehmanniae Preparata:
Radix Rehmanniae Preparata inaongeza uwezo wa kuhimili uchovu na kuboresha ufanyaji kazi wa figo. Inasaidia kuondoa tatizo la shahawa kudondoka zenyewe na tatizo la kuwahi kufika kileleni, ambayo ni matatizo yanayowasumbua wanaume wengi.

cortex moutan

Cortex Moutan:
Cotrex Moutan huboresha mzunguko wa damu ndani ya vijishipa vidogo, huondoa vizuizi vya mzunguko wa damu hivyo kuongeza mtiririko wa damu kuelekea kwenye viungo vya uume (cavenous body).

dawa ya vigpower

<<<<< MWANZO